The lariat
JF-Expert Member
- May 16, 2025
- 1,351
- 1,928
Bosi wa KKKT ni CCM kindakindaki tena bila kificho.Hebu wenzangu na ninyi angalieni UPENDO TV muda huu.
Ni kampain zaidi ya kampeni.
KKKT tunakwama wapi?
kwa sasa KKKT ndio mwana mpendwa wa serikaliBosi wa KKKT ni CCM kindakindaki tena bila kificho.