DOKEZO KKKT Kimara- Korogwe mnaumiza majirani zenu kwa kutiririsha maji machafu!

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mbona attachment hazifunguki ni kwangu tu au
 
Mkuu onyesha huo mpira unapoishia, unapomwaga uchafu hapo mtaani.
Kumbuka ilikuwa zaidi ya saa tano usiku walikuwa wakiwasha tochi angalau picha zionekane.
 
Kwani mzigo wa church bacteria watasubutu kuingia kweli
 
Ila taasisi kubwa kama kanisa inabidi ijenge septic tank(station chamber kubwa underground ambayo haiwezi kujaa kirahisi leo au kesho ) atleast 20 years forward
 
Ila taasisi kubwa kama kanisa inabidi ijenge septic tank(station chamber kubwa underground ambayo haiwezi kujaa kirahisi leo au kesho ) atleast 20 years forward
Pia wangeweza kuyanyonya kutumia magari ya kuchukua hizo taka.
 
Kuna hatari ya majirani kupata magonjwa hatari, kama kipindupindu typhoid nk.
Sure. Ndo maana tumeamua kupiga yowe ili tupate support ya jamii ili wakemee hiyo tabia.

Inasikitisha kwamba hii taasisi inakwenda kinyume na jamii inavyotarania iwe. Social responsibility = 0
 
Sure. Ndo maana tumeamua kupiga yowe ili tupate support ya jamii ili wakemee hiyo tabia.

Inasikitisha kwamba hii taasisi inakwenda kinyume na jamii inavyotarania iwe. Social responsibility = 0
Lakini mkuu inabidi uwe na ushahidi usio na shaka.

Leta video kamili, onyesha huo uchafu unapomwaga / hilo bomba linapoishia ukiweza. Ukileta ushahidi kamili utaungwa mkono na raia wengi.

Hata hivyo ilibidi mamlaka husika iwe tayari imelifanyia uchunguzi wa kina hili jambo hadi sasa.
 
Nadhani kwa wanaofahamu mazingira ya Kimara Korogwe videos alizopandisha zinatosha kuonyesha picha ya tukio zima mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja na video nilizorusha humu pia majirani wote wanashangaa sana taasisi kama kanisa kufanya kitendo hicho na sio mara ya kwanza. Viongozi wa mtaa walishapewa taarifa hizo mara nyingi wanajua, hata maeneo yanakoelekezewa huo uchafu wanajua na wanalaani sana. Wewe unayeona kutoa ushahidi unataka ushahidi gani labda ushahidi wahojiwe wanaoathirika /uchafu unakoelekezwa usikilize machungu wanayopitia, wamekata tamaa wamebaki kuomba Mungu ndo atawanusuru na hali hiyo!

Ikumbuke kuwa wanategeshea usiku watu wamelala ndo wanafanya hayo. Ilibidi tuwe na tochi zile za walizi ili picha angalau zionekane. Wakati zinachuliwa hizo picha tulimtafuta mlinzi aliyekuwa zamu kwasababu tusingeingia hilo eneo usiku huo bila kuwepo mwenyeji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…