KKKT kuifanyia Marekebisho Katiba yake sasa kitaundwa Chombo cha Juu kitakachosimamia Maadili ya Viongozi wakiwemo Maaskofu. Askofu mkuu kuwa Huru!

KKKT kuifanyia Marekebisho Katiba yake sasa kitaundwa Chombo cha Juu kitakachosimamia Maadili ya Viongozi wakiwemo Maaskofu. Askofu mkuu kuwa Huru!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kanisa la KKKT linategemea kuifanyia marekebisho kadhaa Katiba yake ikiwemo Kuanzisha Chombo cha Juu kitakachosimamia Maadili ya Viongozi wakiwemo Maaskofu

Aidha Askofu mkuu wa KKKT hatakuwa Askofu wa Dayosisi na iwapo Askofu wa Dayosisi atagombea akichaguliwa kuwa Askofu mkuu atalazimika kujiuzulu Uaskofu wa Dayosisi

Vikao Vya KKKT vya Juu vinatazamiwa kuanza Kesho 22/08/2023

Source: Mwananchi
 
Back
Top Bottom