Atakuwa anawatumia machawa ndani ya kanisa kupata airtime. RC walishapiga marufuku wanasiasa kupewa airtime kanisani hata kusalimia mana wakipuyanga inaonekana na kanisa wapo pamoja!Makonda ni mpuu.zi mmoja tu, sijui kwanini kanisa linampatia Platform alafu anatumia Platform hiyo kulikejeli kanisa pamoja na watumishe wake..
Yeye ana Wizara yake ya Michezo, kaenda Mwanza kaamua kufanya kazi tofauti kabisa ambazo ziko chini ya Wizara nyingine na kuna Waziri wake. Kama siyo upunguani ni nini?Bashite ni punguani kwelikweli no doubt
Acha aendelee kupata nafasi ili aendelee kujionyesha vile alivyo PUNGUANI.Makonda ni mpuu.zi mmoja tu, sijui kwanini kanisa linampatia Platform alafu anatumia Platform hiyo kulikejeli kanisa pamoja na watumishe wake..
Makonda ni zeroYeye ana Wizara yake ya Michezo, kaenda Mwanza kaamua kufanya kazi tofauti kabisa ambazo ziko chini ya Wizara nyingine na kuna Waziri wake. Kama siyo upunguani ni nini?
Serikali yenye Rais na Waziri Mkuu kimyaaa. Kama vile hawakuona wala kusikia chochote kutoka kwa yule punguani.
Saa100 ni zeroMakonda ni zero
viongozi wa DINI should SPEAK TRUTH TO POWER! Mdegea kawaonyesha NJIA