Mkuu unaniuliza au unaniambia?Eti ni kweli mechi yote ilikuwa na kona sita tu?
π€£π€£π€£π€£mbumbumbu ni mbumbumbu aisee, eti simba wanashangilia droo ya zesco, kuliko ushabikie simba bora uwe shoga
Hahahaa. Wanajisahaulisha tu.naona mbumbumbu mnashangilia dro, yanga tukitolewa tunaenda shirikisho, nyie mtabaki na ligi yenu ya matopeni kucheza na namungo
Ulijua kufurahi Mtani. Daaah.Wabana wameachia...Vyura Oyeee[emoji23][emoji23][emoji23]
Aishangazi kuona matokeo haya ikiwa timu yenyewe imeenda kwenye michuano kwa asante ya Simba SC
Mtani yaani uliacha shughuli zako zote kutufuatilia Timu ya Wananchi.Zesco wamemiliki kila kitu kama walikuwa wanamiliki mke wa mtu vile
Huyo bingwa yuko wapi kwani????????Hivi umeshiriki hiyo michuano ulikuwa bingwa?
Kama si Simba SC kukubeba ungekuwa unafuga Vyura hapo dimbwini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na wamejua kukusanyana. Yaani uzi mzima wamejaa wao.Watu hasira za ud songo naona mikia inazimalizia kwa yanga leo
Nauliza, maana nimeona mtu amepost ila nikawa na shaka kwamba labda ni ushabikiMkuu unaniuliza au unaniambia?
Chance ya kuruka rukaAiseee!!!! Nawaza tu wasingekomboa jinsi ambavyo mngeweweseka Watani.
Nionavyo bado chance tunayo.
Tutawasimamishia sana shughuli zenu mwaka huu yaani kila tukicheza mnajikuta mko busy tu kufuatilia timu ya wananchiChance ya kuruka ruka
Ikoje hali yako hivi sasa Shadeeya ?π€£π€£π€£π€£ Mtani ulijua kuteseka bana.
Wale jamaa waliwachezea mpira mwingi sana aiseeAiseee!!!! Nawaza tu wasingekomboa jinsi ambavyo mngeweweseka Watani.
Nionavyo bado chance tunayo.
Nimefurahi kusikia hivyo maana hapa nilishatayarisha dawa ya maumivu kama yangeendelea na leo ingebidi uje unywe tu mamiiIko poa zaidi ya jana na juzi Ses. πππ
Hatujakataa mbona. Na sisi tutawachezea mwingi huko Zambia. ππWale jamaa waliwachezea mpira mwingi sana aisee
Iweke tu Ses huenda mechi ya marudiano nikaitumia japo sitarajii kwani najua inawezekana tukawapindulia meza vile vile. πππNimefurahi kusikia hivyo maana hapa nilishatayarisha dawa ya maumivu kama yangeendelea na leo ingebidi uje unywe tu mamii
Na huko kwao mna ubavu wa kufunga goli la move? Maana haiwezakani mpewe penati ya bure kwenye nchi ya watuHatujakataa mbona. Na sisi tutawachezea mwingi huko Zambia. ππ
Hahahaaa uzuri wa Yanga ni hapo tu, mna roho saba nyie, yaani mnaona mnaenda kufa hivihivii lakini bado mnajipa moyo tuIweke tu Ses huenda mechi ya marudiano nikaitumia japo sitarajii kwani najua inawezekana tukawapindulia meza vile vile. πππ
Nawatakia kila la heri kama mtakua na ubavu nambinu za kufanya hivyoππ€£Hatujakataa mbona. Na sisi tutawachezea mwingi huko Zambia. ππ
Kwani kule kwa Townshipp Rollers tulipewa Penalti?Na huko kwao mna ubavu wa kufunga goli la move? Maana haiwezakani mpewe penati ya bure kwenye nchi ya watu
Kwa hili nionavyo tunywe Mtori nyama tutazikuta chini kwani bahati ya kuzilenga nyavu tu ndio hatuna lakini hizo move tunazitengeneza sana tu.Kwanza goli la move ni tamu sana ujue Shadeeya. Kuna mwana bongofleva mmoja wa zamani sijui Chege Chigunda yule alikua na wimbo wake akiimba 'Raha ya mechi bao tena bao tamu lile la patashika" ndio kama lile la Zesco sasa.
Haya ni mawazo yenu tu love na wala hatuchezi mpira tukiyatarajia hayo. Na pia niseme ile ni sehemu ya mpira hivyo yote tumeyapokea na kujipanga kwa 90 mins za kule Zambia ambazo nina hakika tutazitumia vyema. πSio nyie mnatafuta huruma ya refa hadi akawaponza maana aliweka madakika kibao ya nyongeza akidhani mtaongeza goli la pili, pole love