Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Daima mbele nyuma mwikoKila la kheri Yanga
Update gani unataka mkuu?Kweli Yanga ndo mana mwanachama na Raisi mstaafu alituita kua sisi Yanga ni baridiii.
Yani hatujiamini hadi saizi hakuna update yoyote
Nyuma unakaa MKIA FC, sisi ni mbere kwa mbereDaima mbele nyuma mwiko
Utakaa wapi wakati uwanja umejaa we bibi,wale mashabiki wenzangu wa Zesco tukutane taifa
Nyuma mwikoTumeshafika taifa kuiunga mkono timu yetu.
Daima mbele
Sanaaa....ulitakiwa mikia wakimbie humu leoYanga mbona tumepoa sana
HakikaaWananchi wote tupo uwanjani
Mikia roho zinawauma sanaNyuma unakaa MKIA FC, sisi ni mbere kwa mbere
Inaonyesha hata taifa watu hawaendiSanaaa....ulitakiwa mikia wakimbie humu leo
JikazeUtakaa wapi wakati uwanja umejaa we bibi
Matikiti yapo uwanjani?Updates ipi mnataka saa saba wakati mpira saa 11