Klabu Bingwa Afrika: Dar Young African Vs Zesco

Kila lagheri Zesco united piga hao vyura 7 oclock
Kwenye ukoo wako hakuna hata mshabiki wa Yanga aka mabingwa wa kihistoria aka wawakilishi pekee club bingwa Africa kutoka Tanzania aka WAKIMATAIFA?

Ebu watakie furaha japo kwa siku moja
 
Kila la kheri kwa timu kipenzi cha roho yangu Yanga.
Wananchi wenzangu hii ni mechi ngumu sana Zesco sio wepesi wale, ila chini ya kocha wetu mahiri Zahera naamini tutatoka na ushindi.
Kikubwa leo ni ushindi tu, sare Zambia.
 
Nawashauri vyura mle matango ya kutosha leo taifa lile molinga pande la mtu leo mtampa kiti pale mbele.
Watu wa redcross mjiandae vya kutosha.
 
Kila la kheri kwa timu kipenzi cha roho yangu Yanga.
Wananchi wenzangu hii ni mechi ngumu sana Zesco sio wepesi wale, ila chini ya kocha wetu mahiri Zahera naamini tutatoka na ushindi.
Kikubwa leo ni ushindi tu, sare Zambia.
Usiwe na hofu kabisa mshikiiii....

Hao zesco na mikia watalilia vyooni
 
Mm ni simba damu,

Ila Nawatakia ushindi mnono,

Kila kheri Yanga mtuwakilishe
Aisee wewe huwezi kua mwanasimba...


Wanasimba ni mbumbumbu sana, jaribu kutuliza akili utajijua wewe sio mwana mikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…