' S' stands for what?ZESCO "Zambia Electricity Supply COmpany" tanesco ya zambia inapigwa leo
Si kama nyie mlivyomtoa UD SongoHata Ruvu Shooting mlipiga tu.....
Supply' S' stands for what?
Kwahyo hapo ujaona neno Supply? Au bado unaumwiza na lile goli?' S' stands for what?
Kwani umeona kuna mwana Simba amesema sisi tunapiga tu bila kujali ni nani?Si kama nyie mlivyomtoa UD Songo
Goli lipi?Kwahyo hapo ujaona neno Supply? Au bado unaumwiza na lile goli?
Tulilo wafunga ZescoGoli lipi?
Big no. You can't even compare your team with YANGA. Yanga is at the international level compared to your inexperienced team. You may compete with Mtibwa, Toto, stand united, etc.Huu ukweli ni mchungu sana. Najua huupendi lakini even your soul says "Yes"
Hawawezi...ni sisi kuongeza umakuni tuMnaoangalia mpira hawa Zesco wanampira gani? Wanaweza wakatufungasha virago kweli?
Matokeo hadi sasa hv ngapi ngapi?Papy na banka wanapoteza sana mipira...
Balama anatoka anaingia ali ali
1-0Matokeo hadi sasa hv ngapi ngapi?
Ali ali huyu si kimeo sanaPapy na banka wanapoteza sana mipira...
Balama anatoka anaingia ali ali
Hahahaaaah kwani yanga wamechezesha kikosi kilichocheza na pamba au polisi??Zesco nao mafala tu,wanazidiwa hata na Pamba na Polisi