Klabu Bingwa Afrika: Refa awabeba Al Ahly nyumbani kwa JS Saoura

Fungua ofisi umrithi marhum Sheikh Yahya Hussein.
Kwani kumekuwa na upungufu wa watabiri kutokea afariki.
Mpira na utabiri wapi na wapi?Ni mapopoma tu ndio wanaoamini utabiri.


Half time

Asv 3-0 Simba
 
Angalau hilo tukio lilitokea katika mechi ya Al ahly akicheza na Js saoura. Mana lingelitokea kwa timu nyengine ambayo si yakiarabu tungeambiwa Waarabu wanabebwa nasio Al-Ahly.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…