Hivi haiwezekani kupost bila hiyo 'Sent using Jamii Forums mobile app' kuwapo?
Wanawaona wazawa ni mazwazwa. Wazawa wananyimwa exposure ya mechi kubwa kama hizi. Tunawapa mechi hizi muhimu wagandaBora wangepangwa wabongo hata wakichapwa sio mbaya ...maana ndio kujifunza sasa hapa wageni watupu...
Wanawaona wazawa ni mazwazwa. Wazawa wananyimwa exposure ya mechi kubwa kama hizi. Tunawapa mechi hizi muhimu waganda
Wamekariri maishaUnamaana gani sasa nawewe pimbi!
Sisi tupo hapa tunawasapoti halafu nawewe unaleta ugoro. Wabongo bwana.
Sisi wote ni watanzania so lazima tuwe kitu kimoja.
Sent using Jamii Forums mobile app
tulia mzee,tulia Dawa iwaingie vizuriUnamaana gani sasa nawewe pimbi!
Sisi tupo hapa tunawasapoti halafu nawewe unaleta ugoro. Wabongo bwana.
Sisi wote ni watanzania so lazima tuwe kitu kimoja.
Sent using Jamii Forums mobile app