Klabu bingwa Afrika: Simba SC 1-0 Al Ahly

Simba inacheza michezo ya kimataifa, kwa hiyo inawakilisha nchi . Hongera sana Simba, mimi ni shabiki wa soka safi ndio maana leo nimefurahi sana kuona mnapambana mpaka mwisho kwa kucheza soka lenye dalili za ushindi, ukiharibu nakuponda ili ujirekebishe.

Hongera sana Simba!

Kwa moto huu, Yanga watakaa kwa mchina labda Simba warudishe mfumo wa ligi kuu, waache mfumo wa klabu bingwa Afrika kwenye kabati😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…