Van pebles
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 2,861
- 5,305
Hahah bora umeweka angalizoTANGAZO
Tunawaomba YANGA msije mkapitisha bakuli lenu Leo katika mchezo huu, tukaliingiza taifa kwenye aibu kubwa maana mchezo huu unaonyeshwa Africa nzima kupitia supersport.
ASANTENI
Sent using Jamii Forums mobile app
kwenye simu yako Azam app
Hata mpira wa pete hauna magoli mengi kiasi hichi.Full time Simba sports club -0 Al ahly -10000000.
Haa basi wazawa ni wachovu kweli!!Wachezaji 3 tu watanzania ndo wamepata nafasi ya kuanza
Aishi manula
Jonas mkude
John bocco
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora wangepangwa wabongo hata wakichapwa sio mbaya ...maana ndio kujifunza sasa hapa wageni watupu...Simba- Al Ahaly uwanja wa mchina, wachezaji 8(73%) watakaoanza mechi ni wageni (Zana, Kwasi, Murshid, Wawa, Kotei, Chama, Kagere, Okwi) na 2(23%) ya watakaoanzia benchi ni wageni. Hii inamaana kuwa ni watanzania 3 tu (Manula, Mkude na Bocco) ndio wanaoaminiwa na Kocha. Huu ni msiba mkubwa kwa taifa stars, tff na watanzania kwa ujumla wake. Maana yake watanzania pale Simba ni malonyalonya tu.
Simba ni ya watanzania au watanzania wako Simba?
Tanzania tunaipeleka wapi? TFF ni lazima ijiuzulu vinginevyo Tanzania tutaendelea kuwa kichwa cha mwendawazimu
wa hiyo waangalie uwezo au utaifa!!Wachezaji 3 tu watanzania ndo wamepata nafasi ya kuanza
Aishi manula
Jonas mkude
John bocco
Sent using Jamii Forums mobile app