Una roho ngumu mkuuLeo nataka Simba ashinde kwasababu nimempa dhamana ya win/draw kwenye bet slip yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Jua litazama tu hilo, kipindi cha pili kichapo kipo palepale
HahaaaaaaaJua litazama tu hilo, kipindi cha pili kichapo kipo palepale
TumejipangaSimba wameanza kwa kasi sana, itawagharimu.
Sent from my iPhone using JamiiForums