Mnashinda HT washambuliaji wenu wazuri kumfunga Mwadui
Huu mpira wanaocheza Simba walishindwa nini kuucheza kule Uarabuni?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sioni wakishika Leo Simba wakiwaga kwa Kasi kidogo wanapata goliAhly watupe burudani kama waliyotupa kule Misri bhana, achana na magoli tu zile moves zilikuwa burudani tosha.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Na Uzembe nao sijui uoga yaani sielewi!!Faida ya uwanja wa nyumbani mama...
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kama Mzee Akilimali vileMacho Ya Asante Kwasiii Yananifurahisha Sanaa