Jipeni moyo mkuu
Hahhaha haumtoshi kabisa
Nahamaje Mdogo wangu. πππ nipo kwa waarabu mwanzo mwisho. ππ
Wewe unaonekana umeshahamia kwenye Yes We Can.
Tatizo chupa mpya mvinyo wa zamaniWestham 1-0 Arsenal 77 dakika, mhimu kukumbushana
Mh
Kabisaaa na ndio sababu tunaandika kwa bashasha kabisa.Simba akishinda sisi maisha yapo pale pale tu, maendeleo hayana Chama.
Sisi Yanga wala hatutikisiki
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika. Hawa wa leo MDEBWEDO.
Baada ya hapo utawasubiri VitaThubutuuuuu, siwezi kuwa timu moja na kichwa maji Manara mimi.
Mimi na Waarabu damdam, zaidi nawasubiri Al Ahly kwa hamu [emoji39].
Sent from my iPhone using JamiiForums
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mita taaanooo injiniaaa au nne na nusuuuu ni tanoo hizooo
Wouzeeeerrr [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] ndio unaingia mama
πππ nishaziandaa
Simba akishinda sisi maisha yapo pale pale tu, maendeleo hayana Chama.
Sisi Yanga wala hatutikisiki
Sent using Jamii Forums mobile app