🤣🤣🤣 umeandika kwa huruma mwenyewe. 🤣🤣🤣Mungu atatusaidia mpenzi
Woyooooooooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] umeandika kwa huruma mwenyewe. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Siku nyingine mtaacha kuwa wakimbizi ha ha ha
Hahaaa a baadae usije Sema jepesiKabisaaaaaa, hili kundi tamu sana.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Najua tena bibi kigagula haswaaa,miaka 54 si mchezoMh unajua mm mtu mzima
Sasa hivi shemela nimefika 55
Msalimie Dauda mwambie atuite lile Jina tena[emoji23]Bila shaka hawa waarabu ndio wale wanaitwa andadogi...
Nakazia
Pole sana ndio ushabiki wa Soka ulivyo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama ulikuwepo