Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Utawaua wenzako kwe pressure, eti Simba 3- Yanga 0 😀😀simba 3-yanga-0
Hata Al ahly mtasema hivyo pia siku na yeye akipigwa nyingiHongereni mikia fc, ila game laini sana hii...
Huko ni mambele mkuu....
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaaa. Kwani unateseka mtani wangu?
Acha uchocheziHawa wangecheza na Mashujaa wangepigwa hata saba.!
Habari yako mwarabu?Kila lakheri JS Saoura piga hao underdog mbumbumbu
ukishaanza kuhisi maumivu ujue dawa ndio inaingia hiyoHawa Wasengerema hawako serious jamani [emoji35][emoji35]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nahisi kigugumizi cha furaha
Kwan dada unateseka hhahahahaaaHawa Wasengerema hawako serious jamani [emoji35][emoji35]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Umeona mbali sana yaani.Hawa wangecheza na Mashujaa wangepigwa hata saba.!
Bora ulivyokubari[emoji126]
Yaaani.Siku nyingine uwe unamaliza soda yako mapema kabla Mnyama hajaisababisha ikawa chungu.
Kama ni mambele unaripoti ya nini sasa? Ungekausha tu Mkuu.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Acheni kutukosesha raha ya leoUmeona mbali sana yaani.