Hahahaaaa. Haya bana kavaage.Hahah burdaaan kabisaa naenda kubadili nivae jezi sasa ndio nikaingie kibanda umiza kumalizia game hahhahh oyooooooo
Waje tuwape nauliVyura naona wanaanza kuondoka humu mmoja baada ya mwingine
Kwani unateseka???Yanga wataficha wapi nyuso zao
Hebu hukooNdio kwanza dk ya 75 tulia hivyohivyo
HatupangiwiSimba ongezeni magoli basi sifa ziwajae.
Atakua hana bundle
Nakazia au hana simu
Simba wamefunga ngapi!?Simba ongezeni magoli basi sifa ziwajae.
[emoji23][emoji23]Nakazia au hana simu
Injinia somaaaaaa uko[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hebu hukoo
Pale yuda anaposalitiwaKinachokufurahisha ni nini eti
Kweli jamani[emoji23][emoji23]
3-0 dakika 80Simba wamefunga ngapi!?
Hahahaaa. Jamaani.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
nyie ndiyo mnateseka na wakaminimize cost ya jezi kwa kuvaa Njano lakini bado mmechakazwa!
hamia simba mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona speed imepunguaHebu hukoo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Pale yuda anaposalitiwa