Hawa tunapiga mbili kwao reserve my commentWazuie kabisa ili wakienda kwao kwenye marudiano wakatafute droo
Ngoja mpambano uishe kwanza halafu niingie mtaani kumsakaKila la heri kwenye kumtafuta ukimpata mpe salaam zangu au shemeji pia anaweza kuwa kamzuia kuingia jf
Umetumwa?Dak 85 bado Simba 2-0 SSC.
Tokaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Niwacheeeee
Imeshuka vizuri kabisa eenhYaani nshakamalizia sasa.
HahahaDuuuu
UsiniHamise please... VN
Unaota wwDak 85 bado Simba 2-0 SSC.
OooohNimemaanisha bibi kikwetu
Sawa sawa usisahau kunipa mrejesho tuNgoja mpambano uishe kwanza halafu niingie mtaani kumsaka
Niende wapi sasaTokaaaa
UsijaliSawa sawa usisahau kunipa mrejesho tu
MakutiniNiende wapi sasa
Asanteeee jamaniHongereni Simba leo mmecheza mpira mkubwa sana, pasi za uhakika na zenye malengo na nyingi zinafika kunako takiwa
Hahhaha kama upo nipandeMakutini
Subiria uletewe..ndio maana hatufiki mbaaali.Roho za kwanini...🤣🤣🤣🤣
NjooHahhaha kama upo nipande