Klabu Bingwa ni ya Simba na Yanga

Klabu Bingwa ni ya Simba na Yanga

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,307
Reaction score
25,932
Kutokana na Azam FC jana kushindwa kuhimili fitna za ugenini,bado naamini Simba na Yanga ndizo timu pekee katika michuano hiyo. Simba na Yanga wameshafanyiwa hujuma ugenini hadi wamekomaa kwa kuzoea.

Azam wameponzwa na ugeni. Wakayumbishwa na fitna hadi kuzabwa mabao 3 bila na kutupwa nje ya mashindano ya klabu bingwa Afrika. Walipanic na kupotea mchezoni. Kwa Simba na Yanga mambo yangekuwa tofauti. Wangekufa kiume hakika.

Kuna miaka mingi kwa timu ya Azam na wengineo kuwa na usugu wa fitna wa Simba na Yanga. Hapa ndani ndiyo saizi ya Azam
 
Fitna za sudan zilikuwa nje ya uwanja ili kuwaalibu tu kisaikolojia ila ndani ya uwanja sikusikia wala kuona fitna ya aina yoyote iile, si refalii waba marenzimen wote walifanya kaziyao ipasavyo bila kubeba timu ya nyumban wala ugenn
 
Kwa Akili Yako Kabisa TIMILIFU Ulikuwa Una Matumaini Kuwa Azam FC Jana Ingefuzu? Kama Unalijua Soka La Bongo Na Pia Ni Mdau Wa Soka La Fitna La Kiafrika Basi Huwezi Kushangaa KUCHAPA LAPA Kwa Azam FC Jana. Hivi Kwa Jinsi Azam FC Ilivyozoea Kuhonga Hapa Nyumbani Ktk Ligi Kuu Ulitegemea Tabia Hiyo Hiyo Wangeendelea Nayo Hadi Nchi Za Wenzetu? Ngoja Warudi Tu Wawangojee Na Wenzao Ambao Nao Baada Ya Mwezi Mmoja Kutoka Sasa KIFO CHAO Kitaanzia Harare Zimbabwe Na Kumalizikia Dar es Salaam. Wenye Mazoea Na Hayo MASHINDANO Ya KIMATAIFA Tupo Na Kwakuwa TUMESHACHOKA Sasa KUTIWA Aibu Ngoja TUPAMBANE KUCHUKUA UBINGWA Wa Ligi Kuu Kwanza au Mshindi Wa Pili HALAFU Tuwaonyesheni Kwanini Tukaitwa MNYAMA au WEKUNDU Wa MSIMBAZI. Utafungwaje Na El Mereikh Na BDF? Fungwa Labda Na Timu Kama ENYIMBA, CANON YOUNDE,ZAMALEK na Al Ahly.
 
= Sudan

= kuwaharibu

= referee (refa).

= linesman (washika vibendera)
 
Hata ww umechemka ni raiseman/mnyanyua kibendera sio linesman

Huwa sikisii.

Tena wewe ndiyo umechemka kupita kiasi, zamani wakiitwa "linesman" kama nilivyomsahihisha huyo kijana hapo juu, siku hizi wanaitwa assistant referees.

linesman (līnz′mən)

1. Football An official who marks the downs and the position of the ball and watches for certain violations from the sidelines.
2. Sports a. An official in various court games whose chief duty is to call shots that fall out of bounds.
b. An official in soccer and other field games who indicates when the ball has gone out of bounds.
c. Either of two officials in ice hockey who call icing and offsides, conduct face-offs, and call penalities.

Source: linesman - definition of linesman by The Free Dictionary

Hivi hizo shule huwa mnaenda kusomea ujinga?
 
Hahahahahaha! Uko vizuri mama nilijua ni expert wa lugha ya kiarabu kumbe na huku uligusagusa.
 
Kwa Akili Yako Kabisa TIMILIFU Ulikuwa Una Matumaini Kuwa Azam FC Jana Ingefuzu? Kama Unalijua Soka La Bongo Na Pia Ni Mdau Wa Soka La Fitna La Kiafrika Basi Huwezi Kushangaa KUCHAPA LAPA Kwa Azam FC Jana. Hivi Kwa Jinsi Azam FC Ilivyozoea Kuhonga Hapa Nyumbani Ktk Ligi Kuu Ulitegemea Tabia Hiyo Hiyo Wangeendelea Nayo Hadi Nchi Za Wenzetu? Ngoja Warudi Tu Wawangojee Na Wenzao Ambao Nao Baada Ya Mwezi Mmoja Kutoka Sasa KIFO CHAO Kitaanzia Harare Zimbabwe Na Kumalizikia Dar es Salaam. Wenye Mazoea Na Hayo MASHINDANO Ya KIMATAIFA Tupo Na Kwakuwa TUMESHACHOKA Sasa KUTIWA Aibu Ngoja TUPAMBANE KUCHUKUA UBINGWA Wa Ligi Kuu Kwanza au Mshindi Wa Pili HALAFU Tuwaonyesheni Kwanini Tukaitwa MNYAMA au WEKUNDU Wa MSIMBAZI. Utafungwaje Na El Mereikh Na BDF? Fungwa Labda Na Timu Kama ENYIMBA, CANON YOUNDE,ZAMALEK na Al Ahly.

Mkuu bado tu unaota! Amka mchana huu.
Ndoto ya simba kushika nafasi 3 za juu umeipata wapi...?

Au ndio baada ya kumfunga mjelajela bao 5...?

Bado safari ni ndefu kwenu....
 
Azam wameponzwa na ugeni. Wakayumbishwa na fitna hadi kuzabwa mabao 3 bila na kutupwa nje ya mashindano ya klabu bingwa Afrika. Walipanic na kupotea mchezoni. Kwa Simba na Yanga mambo yangekuwa tofauti. Wangekufa kiume hakika.

Wote ni walewale tu, wasindikizaji. Tofauti ni kuwa hao wawili unaowapigia chapuo ni failures wakongwe na huyu rambaramba ni failure mchanga.
 
Hivi hao kulwa Na doto wameshiriki hayo mashindano decade mzima, wamefika Wapi?
 
Simba imefika fainali kombe la caf,yanga hatua ya makundi klb bingwa,na ukiangalia vizuri tangu azam aanze kushiriki international hii ndo timm ya kwanza ngum kukutana nayo,saiz yao ilikuwa akina wahusalaa
 
Azam walidhani atachezesha Israel Nkongo kule Sudan.
 
Fitna za sudan zilikuwa nje ya uwanja ili kuwaalibu tu kisaikolojia ila ndani ya uwanja sikusikia wala kuona fitna ya aina yoyote iile, si refalii waba marenzimen wote walifanya kaziyao ipasavyo bila kubeba timu ya nyumban wala ugenn
Mbona Bin Zubery ameshupalia kwenye blogu yake, kwa habari na maoni, kwamba marefa waliibeba El Mirreikh? Kichwa chake kimojawapo cha habari hiyo kinasomeka 'Marefa wa Zambia Waitoa Azam'. Asije akawa anapembejea maslahi kwa Said Bakhresa mwenyewe; kwanza makampuni ya Azam ndiyo mdhamini mmojawapo wa blogu hiyo. Kama ni hivyo, ni lini tutapata wanahabari mahiri kama wao wanavyotaka wachezaji na viongozi wawe?
 
Soka la bongo linaalibiwa na wengi,hao ndo waliokuwa wanapigia kelele swala la simba kumuacha kaseja,,kisa mshkaji wao badae kaseja akawadhihirishia uwanjani kwamba kweli kiwango chake kimeshuka
 
Cha kushangaza ni kwamba hata uongozi wenyewe wa Azam hauamini kwamba timu yao imetolewa kwa njama za waamuzi. La sivyo wasingefukuza kocha. Sasa sijui kama msakatonge Bin Zubery atawalaumu hadharani Azam kwa uozo huu kama anavyozishupalia Yanga na Simba zinapofanya hivyo!
 
Back
Top Bottom