Klabu Bingwa UEFA, Jumanne hii

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Hakika leo ifikapo 10:45 pm tutashuhudia soka la nguvu UEFA pale ambapo Timu nne zitakapopambana katika mchuano huu wa 16 bora, kazi ipo jamani hasa hapo Emarate stadium?

Ni nini utabiri wako?
 
Mtoto wa Messi kamwambia baba yake kwamba leo akienda kazini amletee mpira...sijamwelewa huyu dogohuuu utani sio mzuri kabisa
 
6 mingi sana labda 3
Madrid wakiwa na Ramos, Varane na Marcelo wakisaidiwa upande wa viungo na Toni Kroos, Modric na James walichapwa 4-0 kwao. Sasa Arsenal una nani wa kumzuia Barca?
 
Barca Hana historia nzuri pale Emirates.....

Najua kabisa historia haichezi ila Arsenal ana kikosi kizuri na chenye hari.....

Arsenal 2 - Barca 1
 
achana na historia sasa hivi kuna kitu kinaitwa MSN...usiombe ukutane na kikosi hicho...Barca mechi 32 mfululizo bila kufungwa!...itakua bahati sana kwa arsenal wakitoka salama
 
achana na historia sasa hivi kuna kitu kinaitwa MSN...usiombe ukutane na kikosi hicho...Barca mechi 32 mfululizo bila kufungwa!...itakua bahati sana kwa arsenal wakitoka salama
Arsenal waamini ktk miujiza kwenye mechi ya leo.
 
Tarehe 3 October 2015 ndio Barca walipoteza mechi yao ya mwisho baada ya hapo ni ushindi +Droo 5...kufungwa walishasahau..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…