Klabu Bingwa Ulaya: Je, Chelsea watasonga mbele au Atletico Madrid kupindua matokeo?

Klabu Bingwa Ulaya: Je, Chelsea watasonga mbele au Atletico Madrid kupindua matokeo?

Wang Shu

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
2,562
Reaction score
3,715
UEFA champions league leo Chelsea watakuwa katika uwanja wao wa nyumbani kuwakaribisha Atletico Madrid katika mchezo wa marudiano.

Mchezo wa awali Chelsea iliibuka na usindi wa goli moja la ugenini, tangu kocha Thomas Tuchel aingoze Chelsea haijawai kupoteza mchezo wowote katika mashindano yote.

Je, leo ataendeleza ubabe kwa waongoza ligi pale Spain?
 
Atletico ni wapumbavu hata la liga wanaikosa mwaka huu. I bet draw
 
Naomben link ya kuangalizia hii mechi kupitia simu
 
Hii Chelsea ya Tuchel ni 🔥🔥🔥

Wasipo jiangalia wanaweza kujikuta wamechukua Ubingwa wa UCL kwa mara ya pili katika historia ya Klabu.
 
Back
Top Bottom