Basi hata Fulham atabeba EPL mwaka huu!mnashangaa man u anakuja kubeba ndoo
Hapa umemaanisha ni mkuu??Man U wana mkosi sana... Hapa wakitoka wana Mungu.
Labda lukuku atekwee na Jose Armando do Santos Felix mourhno apigwe Shaba ya kichwa na bashiteeMan u atasonga mbele, tupo hapa mashahidi ohooo
Kaka tumia lugha isiohitaji wakili baadaeMtu akiambiwa Man United ndiyo timu tajiri dunia unaweza ukakataa.
Hii timu inadhalilishwa sana na mvuta bangi wa kireno! Halafu utakuta shabiki anajidanganya kuwa tunaweza kuifunga PSG na kusonga mbele.
Man United (Out)
Unikumbushe na mieNime Ku quote kiongozi..
Hampati kombe safari hiiWe umezoea kupiga lamri ila Liverpool sio team ya kiboya boya katika hayo mashindano
AiseeMan u out
Njoo utafune maneno yako.Livapuuuuu,Manure na Tottennyege nje
Siku nyingine uwe na akiba ya maneno.tena first leg ndo anatoka..
DuuuhRat
Kuna timu zinabahati sana kwakweli,realmadrid,Barcelona,Man city....United kwaheri
Mkuu hii ni march.Draw imebalance, wote nguvu zinakaribiana uwezo isipokuwa United ni wamebebeshwa mzigo mzito.
Atletico vs juventus 50/50
Spurs vs BvB 50/50
Liverpool vs Bayern Munich 50/50
Fc Porto vs Roma nayo 50/50
Ajax vs Madrid 50/50
City, Barcelona, na PSG hao naona kuna 90% ya kwenda next round
Tukutane february.
Na wametoboa kweli.hapo kila mtu anaionea huruma Man United lakini cha kushangaza anaweza akatoboa
Hukukosea.Man United wapata mchekea
[emoji23][emoji23]Man U Out
Hii ndio jf aisee.[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mtu akiambiwa Man United ndiyo timu tajiri dunia unaweza ukakataa.
Hii timu inadhalilishwa sana na mvuta bangi wa kireno! Halafu utakuta shabiki anajidanganya kuwa tunaweza kuifunga PSG na kusonga mbele.
Man United (Out)
Muda ni kitu kizuri sana.Draw imebalance, wote nguvu zinakaribiana uwezo isipokuwa United ni wamebebeshwa mzigo mzito.
Atletico vs juventus 50/50
Spurs vs BvB 50/50
Liverpool vs Bayern Munich 50/50
Fc Porto vs Roma nayo 50/50
Ajax vs Madrid 50/50
City, Barcelona, na PSG hao naona kuna 90% ya kwenda next round
Tukutane february.
Tuna bahati Mou kaondoka lasivyo!