Klabu gani ya mpira Afrika Mashariki ina mashabiki wengi

Pusha T

Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
64
Reaction score
22
Kwa Tz ni Yanga na Simba kwa Kenya ni Gor Mahia na AFC Leopard kwa UG ni Express KCCA Bunamwaya etc. Rwanda ni APR na Rayon


Swali je ni ipi ina mashabiki wengi ukanda huu wa East Africa
 
kama sio simba ni yanga basi
 
Kwa mashabiki wenye utajiri, Gor ya Kenya ndio kiboko
Lakini kwa wingi wa mashabiki, Yanga ndio yenyewe kwani hata mimi Mkenya lakini shabiki wa Yanga FC.
Simba FC haina lolote, ni vijana wa mjini tu wenye makelele mengi.... aha! najua wapenzi wa Simba watanitia kitanzi bora nisepe.
 
naona yanga mumeanzisha uzi halafu mnauchangia wenyewe
 

Utajiri kivip tena embu nielezee
 
Yanga ya Tanzania

kwa sababu ilitumiwa na freedom fighter as story goes...kilikuwa kijiwe cha kujisahaulisha machungu. ndiyo maana ina mashabiki wengi si EA tu hata southern africa
 

heheheh....na madaktari?!!
 
Inawezekana kweli timu ya ''wananchi'' Dar-es-Salaam Young Africans a.k.a Yanga maana hata Mwanamuziki maarufu Pepe Kale alitunga wimbo maalum kuisifia Yanga 😛epe Kalle (RIP) - Young Africa https://www.youtube.com/watch?v=Te1oxYJNjp4

Ingawa umaaufu nauwana washabiki wengi inahitaji kufanya research ya kisayansi maana mimi tiu yangu ni Azam FC ya Dar-es-Salaam
 
Yanga, kwani ndio yenye mashabiki wengi Tz tafiti nyingi zimefanywa zinaonyesha hivyo na pia ndio timu pekee yenye matawi kwenye karibia kila nchi Afrika Mashariki na kati
 
yanga, kwani ndio yenye mashabiki wengi tz tafiti nyingi zimefanywa zinaonyesha hivyo na pia ndio timu pekee yenye matawi kwenye karibia kila nchi afrika mashariki na kati
lakini ni mashabiki mbumbumbu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…