Klabu gani ya Mpira imetoa jezi nzuri kuzidi wote mwaka huu?

Joined
Jun 4, 2022
Posts
68
Reaction score
184
Michezo ni moja ya sanaa inayokuwa kwa kasi kubwa nchini Tanzania, katika siku za hivi karibuni kumekuwa na mijadala mkubwa juu ya masuala mbalimbali yanayoingusa tasnia hiyo kutoka kwa wapenzi na mashabiki wa soka [emoji460]️.

Leo tunakusogezea Jezi Mpya za baadhi ya Vilabu vya Soka Tanzania Bara zilizotangazwa hivi karibuni. Je, Ni Klabu gani imekonga mioyo ya Mashabiki wake?

Dondosha comment yako hapa.

 
Azam.
 
Mwananchi kafunika hapo, ngoja nimtafute baby wangu anichukulie jezi nimsaidie kushabikia team yake [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Namungo
 
Mimi ni Yanga 100%
Ukweli usemwe na siwezi kuwa mtumwa wa ushabiki, nachagua kuwa mtumwa wa UKWELI.

Simba ameshinda kwasababu jezi zao zinafiti kila rangi.
Team kubwa kuwa na jezi ya rangi moja sio afya.
Kuna rangi za ngozi zetu huchagua na kupendelea rangi flani
Katika hili Simba wameshinda.
Ubunifu ni muhimu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…