Klabu kukubali Kualikwa kwa Kushtukizwa na Kukubali ni dalili ya Ushamba, Njaa na Kutojua Thamani yako

Klabu kukubali Kualikwa kwa Kushtukizwa na Kukubali ni dalili ya Ushamba, Njaa na Kutojua Thamani yako

images - 2023-06-20T103918.785.jpeg
 
Yanga kubwa
Popoma bwabwaja tu humu jukwaani
Makolo mnaenda kuwabebesha wachezaji unga tu
Hakuna pre season yoyoyote kule Turkey
Mwaka jana mmempoza kocha wenu wa makipa alikutwa unga
Pre seoson ya nini ulaya nchi yetu kubwa njoo kwetu ngara mfanye pre season kwa utulivu
 
Mangungu ameshasema hata Simba miaka ya 70s iliwahi kupata mualiko ikulu ya Burundi.
 
Tunaojitambua na tusiopenda Mialiko ya kishamba na isiyo na Utaratibu hao Pre Season Ulaya ya Mbali Uturuki huko.

Kudadadeki.
Mwanamke mwenye wivu utamtambua kwa kubenuabenua midomo na pua kuwa na vijasho kwenye vinyweleo!
 
Back
Top Bottom