BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Klabu ya al ahly imeanzisha akademi katika nchi tatu hapa afrika ambazo ni Nigeria, Angola na Ghana.
Lengo la mradi huo ni kukuza na kuinua vipaji ili kufanya biashara na vilabu mbali mbali kote duniani.