BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Nadhani unazungumzia kimo, ambapo kimo sio tatizo wapo wachezaji bora kibao wenye vimo vidogo vya kina kichuya..Wangefungua Tanzania Ila wakiwaza miili ya kina kichuya
AmiinKila la kheri
Wangefungua tu na bongo, vipaji vya kumwaga ila mfumo mbovu unatukwamisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wangefungua Tanzania Ila wakiwaza miili ya kina kichuya
Sahihi Mkuu ona miili ya akina Dele Ali, Rahim steling,Nadhani unazungumzia kimo, ambapo kimo sio tatizo wapo wachezaji bora kibao wenye vimo vidogo vya kina kichuya..
Na kuhusu mwili, mwili unajengwa hilo sio tatizo, muhimu ni kipaji kwanza, kam mtoto anawekwa kweny akademi anakula vizuri, anafundishwa soka, anafundishwa kuwa mwanasoka mkubwa, jinsi ya kulinda mwilu na mambo mengine, miili inajengeka fresh tu mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app