Klabu ya Azam imekamilisha usajili wa kipa wa Mbao fc Benedict Haule

py thon

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2016
Posts
2,476
Reaction score
4,448
Baada ya klabu ya Azam kuwatema wachezaji wao 2 John Bocco na mlinda mlango Aishi Manula wameleta vifaa vipya viwili kuziba nafasi zilizoachwa na wachezaji hao.

Klabu ya Azam imemnasa goli kipa wa Mbao fc Benedict Haule ambaye amemwaga wino siku ya jana ambaye anachukua nafasi ya Manula aliyetimkia simba fc

Pia siku kadhaa nyuma Azam ilikamilisha usajili wa mshambuliaji Waziri junior ambaye amechukuliwa kama replacement ya Bocco .

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…