Klabu ya Chelsea ipo tayari kumuuza Raheem Sterling

Klabu ya Chelsea ipo tayari kumuuza Raheem Sterling

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Licha ya kuwa alijiunga na klabu hiyo mwanzoni mwa msimu huu akitokea Manchester City kwa Paundi Milioni 50, Sterling (28) na kusaini mkataba wa miaka mitano, ameshindwa kuwa na uhakika katika kikosi cha kwanza.

Amefunga magoli manne katika mechi 15, hali inayoonesha Chelsea inahitaji washambuliaji wakali zaidi yake hasa wakati huu ambapo timu hiyo inamata matokeo mabaya uwanjani

==== === ==

Chelsea are already willing to listen to Raheem Sterling transfer offers despite England winger only joining last summer

CHELSEA are already willing to listen to offers for Raheem Sterling despite the England start only joining last summer, it's claimed.

Sterling, 28, joined the Blues from serial Premier League winners Manchester City for £50million.

The Three Lions international penned a five-year deal at Stamford Bridge, which would keep him at the club until the summer of 2027.

However, like his Chelsea team-mates, Sterling has been shy in front of goal.

He has just four league goals to his name in 15 outings this term.

And according to Football Insider, Chelsea are willing to let Sterling leave especially after snapping up Mykhailo Mudryk from under the nose of Arsenal.

Source: The Sun
 
English players they don't play at their best beyond 25 few managed to do it ndio maana Guardiola alishtuka mapema akamuachia.
 
Back
Top Bottom