Klabu ya Manchester United yamuongezea mkataba kocha wake Jose Mourinho hadi 2020

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,299
ENGLAND: Klabu ya Manchester United imemuongezea mkataba kocha wake wa sasa Jose Mourinho wa kuifundisha klabu hiyo hadi mwaka 2020

Mkataba wa awali wa kocha huyo ulikuwa unamalizika mwaka 2019

Mourinho alisema amefurahishwa kuwa klabu hiyo bado inamuamini kuwa yeye ndie kocha wake sahihi kwa kipindi kijacho na kuwashukuru wamiliki pamoja na mkurugenzi wa klabu hiyo Ed Woodward

 
Good ila aache upopoma wakupaki paki atandaze soka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…