Klabu ya Mouloudia Oujda yamtaka Mukoko

Klabu ya Mouloudia Oujda yamtaka Mukoko

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Atleast hii hela itaingia kwenye hazina ya GSM siyo kama ile ya Tuisila aliyekuwa kwa mkopo pale kidimbwi.

Klabu ya Mouloudia Oujda ya nchini Morocco imetuma ofa kwa klabu ya Yanga kuitaka saini ya kiungo Mukoko Tonombe.
 
Mpunga wa maana hautosumbua kwenye tozo mpya ya miamala au mpunga mdogodinyo?
Nalog off
 
Sema unajua nini, Mungu ni mwema wakati wote, leo hii mze Onyanga atakuwa huru!! Mungu mbariki Ibenge kwa kumuondolea Mzee Onyango treni ya umeme.
Simba the next level.
 
Hah hah, kumbe ulikuwa unamsikitikia pia.
Mawazo yalikua kwa speed ya TK Master kwa zile beki zangu za kati Wawa na Onyango,wazito hawana foot work.
Kocha wa Yanga ni mzuri najua angempika Kisinda ili mbio zake ziwe na tija,Kisinda ana mbio ila zilikosa malengo.
 
Mukoko hivi......

Kisinda vilee...

Leo hii Mlugulu hajui kuwa wakala wa Kisinda ndio yule yule wa Mukoko.

Kitu kizito kinaendelea kuwadondokea watu kichwani.
 
Back
Top Bottom