Klabu ya SIMBA acheni kusumbua wagonjwa

Klabu ya SIMBA acheni kusumbua wagonjwa

hiram

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2013
Posts
266
Reaction score
393
jama haya mafuta ya mgando ya jero jero na dawa za meno ndo NEXT LEVEL iga UFE khaaa
 

Attachments

  • miikia.jpg
    miikia.jpg
    28.3 KB · Views: 23
Bora tuwarudishie wenye timu yao, akina Kilomoni. Kinyume na hapo, huu umbumbumbu utaendelea miaka nenda.
 
Hafu mgonjwa shabiki wa yanga akitoka hapo anaenda kutupa toi

Hahaha ushabiki bhana
 
Mlitaka wapeleke wagonjwa India..? Vyura bhana, hapo wamejitolea sio sheria.
 
Duuh! Hivi tu vitu thamani yake hata kilo sidhani kama inafika!
Nyie mngekuwa safi Dante na Abdul wangekuwepo jana...
Msaada au kujitolea sio laki au milion ndugu, hata ukipewa sabuni moja utapokea tu.
 
Back
Top Bottom