Klabu ya SIMBA acheni kusumbua wagonjwa

Bora tuwarudishie wenye timu yao, akina Kilomoni. Kinyume na hapo, huu umbumbumbu utaendelea miaka nenda.
 
Hafu mgonjwa shabiki wa yanga akitoka hapo anaenda kutupa toi

Hahaha ushabiki bhana
 
Mlitaka wapeleke wagonjwa India..? Vyura bhana, hapo wamejitolea sio sheria.
 
Duuh! Hivi tu vitu thamani yake hata kilo sidhani kama inafika!
Nyie mngekuwa safi Dante na Abdul wangekuwepo jana...
Msaada au kujitolea sio laki au milion ndugu, hata ukipewa sabuni moja utapokea tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…