Hata adhabu TFF wanayoiombea Yanga siyo rahisi kama wanavyodhani, uwanjani kulikuwa shwari. Algeria na hata Misri jinsi Yanga ilivyokuwa inafanyiwa fujo na hata michezo kusimamishwa kwa dakika kadhaa mbona timu hazikupewa adhabu?
unawaeleza wenye nafasi ya tatu kwa miaka 4 sasa? hawataelewa kwa sababu wamekula vumbi mno sasa hata hawaoni u hata uwanja wa taifa sasa unafikiri watajua wapi Algeri au Misri ?