Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,711
- 3,279
Habari Wakuu
Naomba kama kuna mtu humu ambae anaweza kuwa na connection na viongozi wa Simba awaambie wasithubutu kumpa jezi no9 mshambuliaji mpya Chris Mugalu kwani ina gundu na ataflop wote mtamkataa ndani ya msimu mmoja tu.
Naomba kuwasilisha