Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,711
- 3,279
Hivi hao vijana wenu wa utopolo fc wameleta kombe gani!?Yamekuwa hayo tena! Ila takwimu zake za kufunga zinashuka, alianza na magoli 24, msimu uliofata 19, uliopita ana 9 tu, kwa hiyo akifunga mawili msimu huu msianze kusingizia jezi no 9 nyie kituo cha kulelea wazee!
Hapana kaka kwenye mpira haya mambo yapo sana mfano Man utd ile jezi no7 tangu aondoke ronaldo kila anaepewa inamuharibuNamba ya mgongoni aichezi bali anaecheza ni mtu.
wapesalam waambie top 3/wafungaji bora msimu wa 2020/2021/ ni:
Mk 14.
Mugalu.
BM.
Wewe nakukubali ni shabiki kindakindaki wa Man U.japo mimi ni Arsenal.Hapana kaka kwenye mpira haya mambo yapo sana mfano Man utd ile jezi no7 tangu aondoke ronaldo kila anaepewa inamuharibu
uko sahihi,tupe historia kidogo ya #9Hapana kaka kwenye mpira haya mambo yapo sana mfano Man utd ile jezi no7 tangu aondoke ronaldo kila anaepewa inamuharibu
wabongo kama kawaida, hasa ukiwa unaliangalia jambo kwa jicho la husdaKama unaweza fatilia ufungaji wake uwe unafatilia alicheza mechi ngapi watanzania tujitaid kufatilia vitu basi sio kukurupuka tu
Hapana nimezingatia historia wachezaji waloivaa pale simba hawakufanya vizuriWewe nakukubali ni shabiki kindakindaki wa Man U.japo mimi ni Arsenal.
sasa mwamba kama Man U namba 7 inagundu basi ndo timu zote dunianzima namba saba inagundu?
Kwa pale Simba huwa mchezaji akiivaa,hata kama ni mzuri vipi anaflopuko sahihi,tupe historia kidogo ya #9
Embu tupe historia ya jezi namba 9 waliokuwa na gundu ndani Simba mkuu. maana huwenda mimi sijui alafu najifanya najua.Kwa pale Simba huwa mchezaji akiivaa,hata kama ni mzuri vipi anaflop
Umemwagia upupu acha apambane nao.Hivi hao vijana wenu wa utopolo fc wameleta kombe gani!?
Utopolo fc akili za kijinga Sana, C. Ronaldo ana miaka 34 lakini bado Ni striker hatari,
Trésor Mputu wa TP Mazembe ana 38 bado Ni hatari.
Utopolo fc hovyo kabisa!
Kwa BM umeingia cha kike mkuu, hujawasikia wale wazee wa mikoa mitano ya Zenji? Subiri uone, kila siku mtampeleka India kufanyiwa MRI ya misuri, haiwezekani mpeperushe ndege wetu kirahisi afu mbaki salamaNamba ya mgongoni aichezi bali anaecheza ni mtu. wapesalam waambie top 3/wafungaji bora msimu wa 2020/2021/ ni:
Mk 14.
Mugalu.
BM.
Yamekuwa hayo tena! Ila takwimu zake za kufunga zinashuka, alianza na magoli 24, msimu uliofata 19, uliopita ana 9 tu, kwa hiyo akifunga mawili msimu huu msianze kusingizia jezi no 9 nyie kituo cha kulelea wazee!
Kwa BM umeingia cha kike mkuu, hujawasikia wale wazee wa mikoa mitano ya Zenji? Subiri uone, kila siku mtampeleka India kufanyiwa MRI ya misuri, haiwezekani mpeperushe ndege wetu kirahisi afu mbaki salama
Alcheza ngapi...kwa Nini hakucheza!Kama unaweza fatilia ufungaji wake uwe unafatilia alicheza mechi ngapi watanzania tujitaid kufatilia vitu basi sio kukurupuka tu
Tatizo namna yenu ya kutafuta wachezaji iko very poor, afu mnajiita timu kubwa! Haya sasa mkachukuwa wazee wote mkidhani wachezaji wazuri wameisha Africa nzima! Hawo mabeki wenu wazee wasipopasuka mapafu mwaka huu mkatambikie. Rage alivyowaita mbumbumbu hakukosea kabisa!Tatizo nyinyimUtopolo mlimkosea namna ya kumtumia BM33, na hata nao kule Orlando Pirates walikosea namna ya kumtumia. Msimbazi kumejaa weledi, tuna watu makini wa kujua namna ya kumtumia mtu kama yule.
Wazungu ni tofauti na ngozi nyeusi kutoka Afrika, kwa ngozi nyeusi kwenye miaka yake ongeza 10Hivi hao vijana wenu wa utopolo fc wameleta kombe gani!?
Utopolo fc akili za kijinga Sana, C. Ronaldo ana miaka 34 lakini bado Ni striker hatari,
Trésor Mputu wa TP Mazembe ana 38 bado Ni hatari.
Utopolo fc hovyo kabisa!