Kama akili yake ilikuwa kwenye unahodha tu na akajisahau kuwa kazi ni kucheza soka ili kuiletea mafanikio klabu na yeye kutaraji kwenda hata nje ya nchi kucheza soka, yamkini atakuwa hivyo. Lakini kama mwerevu basi eandelee kukuza kiwango chake, kwanza klabu imempa heshima na kumshukuru kwa kipindi chake cha uongozi kwa wachezaji wenzake uwanjani na nje ya uwanja.Hawezi kujisikia vibaya Mkude?
Hawezi kujisikia vibaya Mkude?
Hakuna tv iliyoonyesha zaidi ya social networkingMkuu.. post #19 rejea, kwa vile inakuhusu vilivyo kabisa
TV gani ilionyesha hiyo mechi ?Kwahivyo Mkude ndo mwenye televisheni ilionyesha habari hiyo mpaka mkaangalia nyinyi tu Gongowazi, ambapo watu wengine hawakuona eeh..!
Mkude kimemponza baada ya kuvujisha habari kuwa simba imepigwa bao saba
Pole sana mpaka povu limekutoka, hujui unasubiri kuona game kwenye tv, pole, hata clouds leo wameiongelea hiyo issue, watangazaji wote wa sports extra ni washabiki na wanachama wa Simba hasa shaffih dauda, na wana access ya kujua kinachoendelea huko maana wanapigiana simu na wachezaji, wameongea leo kuwa huenda ndiyo sababu ya kuponywa ukapteni wa timu baada ya kuvujisha habari za kula bao saba.Hapa ndipo huwa ninawadharau baadhi ya Watanzania hasa kwakuwa uwezo wao wa ' Ufahamu ' ni mdogo sana. Hivi katika dunia ya leo ambayo teknolojia imefanya tuwe kama Kijiji kimoja Klabu kubwa kama ya Simba inaweza kuwa na mchezo wa Kirafiki tena nchini Afrika ya Kusini halafu hiyo mechi ama isiwe televised au covered na Media zingine mbalimbali za huko huko Afrika ya Kusini? Hivi ni kwanini tunakuwa ' Wapumbavu ' hivi kila uchao?
Wanasema kuwa Simba SC ilicheza mechi hiyo na Timu ya Daraja la Kwanza iitwayo Royal Eagles FC ambapo hata ukiingia tu katika Website yao utakuta hakuna taarifa yoyote kwamba walicheza na Simba SC isipokuwa kuna Fixtures tu zingine za mechi zake za Kirafiki na Usajili.
Kinachoniudhi ni kwamba Watu tuna access ya Mitandao lakini tunashindwa hata tu ' Kujiongeza ' Sisi wenyewe kuweza kutafuta ukweli wa hii kitu na tunabaki tu kuleta ' Upumbavu ' wetu humu wa Ushabiki wetu wa ' hovyo hovyo ' wa Simba na Yanga ambao ndiyo umechangia hadi leo hii tunapiga tu ' mark time ' katika Maendeleo ya Soka huku Wenzetu walio serious wanatuacha.
Tusikimbilie tu kutaka mabadiliko TFF bali hata Sisi ' Mashabiki ' pia tubadilike hasa Kifikra, Kiueledi na Kimtizamo la sivyo kila uchao tutabaki tu kumsifia Mbwana Samatta wakati majirani zetu tu hapa wana akina Samatta wao wengi tu huko Ulaya hali ambayo hupelekea Sisi tunapocheza nao wao kuleta Wachezaji wao Vijana kabisa ila Sisi kama kawaida ya ' Umbumbumbu ' wetu tunaweka ' full mkoko ' na bado tunafungwa vile vile.
Kwa kukusaidia tu na ' Wapuuzi ' wenzio ni kwamba japo Uongozi umeamua kulifunika kwa maslahi mapana ya Klabu na kuimarisha Umoja ndani ya Timu sababu Kuu zilizofanya Mkude ' kupokwa ' Kitambaa cha Unahodha ni hizi zifuatazo:
Kazi Kwako!
- Ulevi
- Umalaya
- Kupenda starehe hasa Muziki kupitiliza hapa najua ' Masela ' wa Kipande cha Kinondoni Biafra hadi Mango Garden najua mtakuwa mnanielewa ambako pia ndiko Mkude amekulia na kucheza sana Soka
- Uyanga wake uliopitiliza
- Usaliti kwani hakuna ambaye hajui kwamba Mkude ' katuumiza ' mno katika VPL iliyoisha kwa gharama za Yanga
- Kugawa Wachezaji wenzie ( Kuendekeza Ufaza ) na kuwatenga wengine kwa kuwaona ni ' Washamba '
- Dharau kwa baadhi ya Watu wa Benchi la Ufundi hasa kwa Kocha Msaidizi Jackson Mayanja a.k.a Mia Mia
Huyo ambaye alisema FIFA wameleta barua Simba mpewe ubingwa bado unamwamini ?GENTAMYCINE post #30 Amemaliza kila kitu hapo, rejea kuisoma ili uondoe Uzwazwa hapo bwawani
Pole sana mpaka povu limekutoka, hujui unasubiri kuona game kwenye tv, pole, hata clouds leo wameiongelea hiyo issue, watangazaji wote wa sports extra ni washabiki na wanachama wa Simba hasa shaffih dauda, na wana access ya kujua kinachoendelea huko maana wanapigiana simu na wachezaji, wameongea leo kuwa huenda ndiyo sababu ya kuponywa ukapteni wa timu baada ya kuvujisha habari za kula bao saba.
Hakuna chochote hapo kwenye kuthibitisha hilo labda Runinga Gongowazi ndo ilionyesha mechi hiyo. Post #30 rejea inakuhusu vilivyo kabisaHuyo ambaye alisema FIFA wameleta barua Simba mpewe ubingwa bado unamwamini ?
Ndio maana Rage aliwaita mbumbumbu