Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona yanga wanashinda kuamini uchawi daily hadi walitupa taulo la Ivo mapunda wakadai lina uchawi wala hatukuona faini hiyo. Kulikoni.Klabu ya Simba imepigwa faini ya sh 500k (laki 5) kutokana na timu kuingia uwanjani kwa kutumia mlango usio rasmi katika mechi ya Ligi Kuu Vodacom dhidi ya Mbao FC iliyochezwa September 21 2017.
Mkuu zarau iyooMbumbumbu Fc
sio dharau, ni utani wa jadi mbona sisi mnatuitaga vyuraMkuu zarau iyoo
Tukishabikia Arsenal tunaonekana sio wazalendo kumbe wapuuzi baadhi wanaleta imani za kijinga kila sehemu.Klabu ya Simba imepigwa faini ya sh 500k (laki 5) kutokana na timu kuingia uwanjani kwa kutumia mlango usio rasmi katika mechi ya Ligi Kuu Vodacom dhidi ya Mbao FC iliyochezwa September 21 2017.
Hahaaa ile kona ya kichuya bado unaikumbuka ee? Basi uchawi unssaidia kumbePale uwanja unitengenezwa juzi kati walifukua mauchawi gani sijui yaan eti kona zinapinda zinaingia zenyeweeee
Wakati ule ilikuwa mbeleko sasa ipo lupangoMbona yanga wanashinda kuamini uchawi daily hadi walitupa taulo la Ivo mapunda wakadai lina uchawi wala hatukuona faini hiyo. Kulikoni.
Mpira wa bongo bahati mbaya mkuu, upuuzi mwingi.Tukishabikia Arsenal tunaonekana sio wazalendo kumbe wapuuzi baadhi wanaleta imani za kijinga kila sehemu.