Usajili mzuri sana huu kwa MnyamaJamaa sio tu anajua kukaba na kufanya interceptions, lakini ana uwezo wa ku dribble [ tembea nao ] ndio maana ameondoka Coastal Union na assists kadhaa.
Well done Simba SC.
Bora muendelee tu kusema ametokea Coastal Union ya Tanga. Maana jamaa anajua kuongea kiswahili kuliko hata sisi wenyeji wa Mkoa husika.Simba SC imetangaza kukamilisha usajili wa kiungo wa katikati ya dimba Mnigeria Victor Akpan (24) kwa mkataba wa miaka miwili akitokea klabu ya Coastal Union ya Tanga.
Wapi tumesema ametokea Nigeria?
Kuchangia hoja tu mnashindwa, basi hata kusoma Uzi na kuelewa nako ni tatizo..!
Mwamba sana huyu MTU.Simba SC, Wekundu wa Msimbazi kutoka Jiji la Dar es salaam, leo Julai 10, 2022 wametangaza kukamilisha usajili wa kiungo wa dimba la katikati Mnigeria Victor Akpan (24) kwa mkataba wa miaka miwili akitokea klabu ya Coastal Union ya Tanga.
Kiungo huyu wa dimba la katikati (Defensore Centrale) amefanya makubwa sana akiwa na Wagosi wa Kaya kwenye Ligi Kuu msimu wa 2021/2022, akiwa amefunga na kutengeneza mabao pamoja na kuzuia.
"Kiungo wa katikati ya dimba mwenye uwezo mkubwa wa kuhimili mechi za aina zote, Victor Akpan ni Mnyama". Imeeleza kwa ufupi taarifa kutoka Simba SC.
View attachment 2286092
Utopolo akiwa UtoponiHuyu naye ni katika waliojaa Utopolo, akiwa na makasha ya samaki huko nje.View attachment 2286140
Ndiyo mkuu. Huyu jamaa ndo aliwatoa kamasi na mate ya mrenda hakina bangala na aucho pale Arusha kwenye fainali ya ASFC na kushuhudia mdaka mishale akipigwa mishale 3 na dogo sabuni.Kumbe ametokea hapo Tanga!
alikuwa anabeba box 🤣🤣🤣Huyu naye ni katika waliojaa Utopolo, akiwa na makasha ya samaki huko nje.View attachment 2286140