Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,267
Klabu ya Simba imewasilisha malalamiko TFF kufuatia kauli ya Makamu Mwenyekiti wa Yanga African Fredrick Mwakalebela kuwa wamefanya mazungumzo na mchezaji Clatous Chama wakati akina ndani ya mkataba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app