Klabu ya Simba yawasilisha malalamiko TFF kufuatia Frederick Mwakalebela kukiuka kanuni za usajili

Sasa kama hajaongea na mchezaji sheria inakuwa imevunjwa wapi?
 
Mimi sioni Sababu ya Viongoi Wa Simba Sc kupoteza muda wao kwa kujadili jambo hilo. Ndio mana tembea nchi zote Afrika huwez kukuta tm zenye utani Wa jadi zaid ya Simba na Yanga. Vinginevyo utakuta ni Mahasim. Japokuwa kitakacho mponza Mwakalebela ni cheo chake akiwa kiongoz wa Timu hakupaswa kufanya mzaha huo. Ukizingatia Mchezaj mwenyewe anakanusha kufanya mazungumzo yoyote na viongoz Wa Yanga kwanin Viongoz Wa cmba walichukulie Selious kias jicho?. Nafikir kuna mchezo unachezwa na Viongoz Wa Simba sc kuwatoa relini Wadau wanaohoji uwekezaji Wa Billion 20 uko wapi? Badala yake wajikite kumjadili Mwakalebela.
 
Tusubiri hii kesi itakapofika mwisho labda kuna kitu kimejificha sisi wadau wa mpira hatukijui. Kama Simba wana mkataba mrefu na Chama wangewasubiri tu hao Yanga waje mezani wawape dau wanalotaka na Yanga kama kweli wana mkwanja wangelipa basi biashara imeisha. Vinginevyo hizi ni siasa za kawaida za Simba na Yanga
 
Kaomba radhi kuwa ule ulikuwa ni utani uliopitiliza,ila yote watakutana tu TFF na hapo watamalizana vizuri kabisa,sababu mazungumzo na mchezaji hayazuiliwi ila kumchukua mchezaji ndipo kunapozuilika hadi taratibu zote zifuatwe
 
... Nafikir kuna mchezo unachezwa na Viongoz Wa Simba sc kuwatoa relini Wadau wanaohoji uwekezaji Wa Billion 20 uko wapi? Badala yake wajikite kumjadili Mwakalebela.
Wapenzi wa Simba wala hatuna haja ya kuhoji bilioni 20, naona wewe ndio unataka kututoa kwenye reli. Yanga wamchunguze DM, kuna kitu anafanya makusudi kufanya hujuma
 
Kwa hiyo itakuwa viongozi wa simba walimtuma mwakalebela aseme alichosema na baadae wamchenjie ili kuzima swala la b20,hivi unafikiri kwa kutumia nini?huyo nyege zake mwenyewe zimemtuma aseme hayo maneno na nyinyi mashabiki wa utopolo juzi nzima mlikuwa mnampongeza yeye na gsm kwa kuikomoa simba.mnachotakiwa kujua utopolo fc klabu ya simba imeshapita ktk aina hiyo ya uongozi wenu na ndio maana halisi ya next level.
Simba haiendeshwi tena kwa mihemko kama timu yenu,mmelikoroga sasa linyweni acheni visingizio vya b20 kwani ulisikia simba ni chama cha ushirika kuna siku tutagawana faida? Tunachotaka sisi wanachama na mashabiki wa simba ni ushindi na unapatikana,na ingekosa korona sasa hivi tungekuwa tushatangaza ubingwa.ndegelec


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simba wamepaniki balaa! Davidi amekiri kufanya utani uliopitiliza, kiuhalisia hajafanya mazungumzo na Chama na ameomba msamaha kwa hilo! Hata Chama mwenyewe alikanusha kufanya mazungumzo yoyote na Yanga! Baada ya GSM kusema watafanya usajili mzuri msimu ujao mikia wanadhani wamepata kichaka cha kutukwamisha!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo la Simba/Manara ni kile kipigo cha tarehe 8 wanaweweseka sana kichapo cha mbwamwitu chini ya Msola na Mwakalebela Sijui Manara aliwalisha nini mbumbumbu maana aliapa Yanga ingefungwa. Hivi kwa kupeleka kesi TFF anajenga uhusiano gani wa baadaye Lakini haishangazi mlipofungwa ba Kagera napo mlikata rufaa Caf mpaka leo mnasubiri majibu La msingi mpeni hati Mo ili atoe b20 sio kupoteza lengo Rage hakukosea alipowaita simba ni mbumbumbu
 
Ukiacha kukiri pia kaomba msamaha, kwahiyo usizani mwakalebela mjinga kuomba msamaha, anajua alipoteleza na ndio hapo patamuhukumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…