Klabu ya Yanga imemtangaza Nadir Haroub 'Cannavaro' kuwa Meneja wa timu hiyo

Klabu ya Yanga imemtangaza Nadir Haroub 'Cannavaro' kuwa Meneja wa timu hiyo

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,509
Reaction score
3,756
Naodha wa muda mrefu wa Klabu ya Yanga SC, Nadir Haroub Ali(Cannavaro) amestaafu soka na kuteuliwa kuwa Meneja wa timu akichukua nafasi ya Hafidh Saleh ambaye sasa anakuwa Mratibu wa timu

Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Yanga, Hussein Nyika kwamba baada ya mchango wa muda mrefu kama mchezaji, Cannavaro sasa anahamia kwenye benchi la Ufundi

Cannavaro alijiunga na Yanga mwaka 2006 kutoka Malindi FC ya Zanzibar na mwaka 2009 alitolewa kwa mkopo wa miezi 6 kwenda klabu ya Vancouver Whitecaps ya Canada iliyokuwa inashiriki Ligi ya Marekani, kabla kurejea ya kurejea tena Jangwani hadi msimu uliopita
 
Uko ka mie Swahiba. Nipo nayo tu kwa kweli na sina mpango wa kuihama.

Kwani najua haya ni mapito tu.
Kweli swahiba. Mimba mliyobeba ni mapito tu. Mkijifungua mtarudi kwa mme wenu Msimbazi pale....
 
Hahahaaa. Umejua kunichekesha jamaani lol.

Ni mapito tu haya babu. [emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli swahiba. Mimba mliyobeba ni mapito tu. Mkijifungua mtarudi kwa mme wenu Msimbazi pale....
 
Hahahaaa. Umejua kunichekesha jamaani lol.

Ni mapito tu haya babu. [emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kweli kabisa. Ila mjifunze kutumia kondom na nyie.... dah!

Kila siku mimba tuuu
 
Hahaaa. Kila siku lini na lini babu. Hebu tupishe sieee.

Inamaana ushasahau mliyoyapitia na nyie.
Ni kweli kabisa. Ila mjifunze kutumia kondom na nyie.... dah!

Kila siku mimba tuuu
 
Last edited by a moderator:
Hata angepewa ukurugenzi bado ni ziro,umeneja kwa timu isiyo na pesa[emoji28][emoji28][emoji28]nacheka kwa dharau...huenda akalipwa mshahara chini ya 250000
 
Back
Top Bottom