Klabu ya Yanga yaja na jezi bora nzuri safi yakuvutia kuliko jezi zote Afrika Mashariki na Kati

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Sina maneno mengi hebu wewe mwenyewe tazama kisha hizo jezi kisha baadaye ufanye tathmini

Hakika utapiga saluti hata kama siyo askari
Utapiga mluzi hata kama siyo mchungaji
Utapiga mbizi hata kama siyo mvuvi

Yanga inatisha

Jezi Bora ya karne

 
Bila picha ya Jessy ni ufala

USSR
 
Mambo haya wabongo ndiyo tunayaweza

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…