Klabu ya Yanga yatakiwa kubadilisha jina lake

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Mnamo Novemba 21, 2018 TFF iliiandikia barua klabu hiyo na kuitaka ibadili jina lake kutoka 'Young Africans Sports Club' na kuwa 'Young Africans Football Club'

Katika barua hiyo iliyoandikwa na Katibu Mkuu TFF, Wilfred Kidau inaeleza kuwa hayo ni maagizo ya FIFA na kuwa Klabu inayosajiliwa kama 'Sports Club' inatakiwa kuwa na michezo mingine

Hii ni kwa sababu klabu hiyo ipo chini ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani(FIFA) na kwa sasa inafanya shughuli za mpira wa miguu pekee

Itakumbukwa kuwa zamani Yanga pamoja na Klabu ya Simba zilikuwa na michezo mingine kama Michezo ya Ngumi na mingine

 
Mwanaume ukiwa na jina la ubini la kike basi hukosi tabia za umama. Ukichanganya na kuwa kwenye jiji lenye mambo hayo. Umama umekamilika.
 
TFF wana ajenda ya siri na Yanga tu...maaamaaaeeeee...
 
FIFA watajuaje hizi story? Yanga anatafutwa huku timu yao MIKIA FC kimeo...
 
Wanawaonea! Mchezo wa "bakora" mbona unaratibiwa fresh tu!
 
duh ila nzuri hii........ pia ziwe kampuni hizi timu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…