M24 Headquarters-Kigali JF-Expert Member Joined Jul 9, 2012 Posts 8,199 Reaction score 8,186 Dec 2, 2016 #1 Tra wanaendesha mashindano baina ya klabu za kodi mashuleni. Hongereni kwa hili. Japo tungeomba ntuelimishe na sisi wamachinga umuhimu wa kodi, mbona kundi hili mmetusahau! Wekeni vipaumbele.
Tra wanaendesha mashindano baina ya klabu za kodi mashuleni. Hongereni kwa hili. Japo tungeomba ntuelimishe na sisi wamachinga umuhimu wa kodi, mbona kundi hili mmetusahau! Wekeni vipaumbele.
M24 Headquarters-Kigali JF-Expert Member Joined Jul 9, 2012 Posts 8,199 Reaction score 8,186 Dec 2, 2016 Thread starter #2 Nendeni pia kwenye nyumba za ibada huko ndo kuna walipa/wakwepa kodi maarufu.