mpoko9 matthew
New Member
- May 14, 2014
- 4
- 3
naomba wataalam wetu tusaidiane ktk hili..kuna huu ugonjwa unaitwa kleoid kama sijakosea ila nyie mnaujua zaidi..yaan kuna kuwa na vipele fulani ambavyo ni sugu na wengine huja kuwa ni uvimbe kbs baadae ambao unatokea nyuma kichwa yaan chini ya kisogo..kwa mfano mm vilianza nilipokuwa nimeenda saloon kunyoa na akawa amenichonga kwa nyuma alafu yule jamaa hakunipata chchte yaan si spirit wala nn..baada ya siku kadhaa vipele vikaanza ndo hadi leo na vina karibia miaka minne sasa..