Kliniki ya HIV

Bi. Mkora

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2010
Posts
374
Reaction score
60
Mimi ni mgeni Dar na natumia dawa za ARV. naomba kujua wapi nitapata huduma ya dawa na kliniki
 
Huduma zipo sehemu nyingi sana. Kila hospitali ya wilaya, vituo vya afya na hata Muhimbili.
 
Dar sehemu gani bi mkora. ukijibu hlo waweza kutupa mwanga. maana dar kubwa mwaya
 
Bi. Nyakomba mbona umekuwa kimya? Umetaka kujua nipo maeneo gani na nimekuambia. Tafadhali nisaidie.
 
Sio mwisho wa maisha fanya shughuli zako kama kawaida,maana wengine wanakuwaga na wasiwasi...
 
Mmmmh wewe clinic ya HIV no hii kitaalamu huitwa clinic ya ART as longer kama una CTC kad yako ni pm I will help you
 
Sio mwisho wa maisha fanya shughuli zako kama kawaida,maana wengine wanakuwaga na wasiwasi...

Sasa mbona unajibu kwa ukali eti fanya shughuli zako kama kawaida kwani nimekuambia nimeacha shughuli zangu? Wewe uliniuliza na nimekujibu. Sasa nimeona kimya. Kukumbusha ndio kosa kangu? Nakuomba uwe na amani tu.
 
Bi mkora punguza jazba usaidiwe
 
Muhimbili kuna Clinic opposite na Word ya Wakina mama.
 
sorry bi mkora... ckuwa hewani. Muhimbili Lol. hivi amref pia c kunaclinic nishawahi Pima afya pale dia
 
Sasa mbona unajibu kwa ukali eti fanya shughuli zako kama kawaida kwani nimekuambia nimeacha shughuli zangu? Wewe uliniuliza na nimekujibu. Sasa nimeona kimya. Kukumbusha ndio kosa kangu? Nakuomba uwe na amani tu.

Hapana nimeongea kawaidaa ndugu yangu na sio kwa jazba na sio mimi ambaye nimeuliza check vizuri hapo juu ila mimi nilisema yaani wengine wanakata tamaaa wewe kuwa normal tu
 
Kuna clinic ipo karibu na traffick makao makuu...inaitwa IDC.....ukifika mitaa ya stesheni ulizia traffic makao makuu ukiwa hapo traffic ulizia kituo cha afya ni jirani kabisa...kwa nini uende private kulipia wakati dawa ni bure....nilikua mfanyakazi wa kituo hicho ila nimeondoka....but najua utapata huduma uwe na kadi yako tu.
 
Hapana nimeongea kawaidaa ndugu yangu na sio kwa jazba na sio mimi ambaye nimeuliza check vizuri hapo juu ila mimi nilisema yaani wengine wanakata tamaaa wewe kuwa normal tu
Samahani kama nilikuelewa vibaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…