Kly Gelly kwenye kabati lake

Kly Gelly kwenye kabati lake

Mtetezi.com

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
3,134
Reaction score
3,584
Nimekuta box la Kly gelly kwenye droo ya kabati lake liliwa halina kitu (empty box)

Sijawahi kuitumia
Hii inaweza kuwa ishara ya nini wakuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ni lubricant na hata mume na mke wanaweza kutumia kama mbadala wa mate (Kwa wanawake wakavu au wanaokauka baada ya kuhimili kujamiiana Kwa muda mrefu). Na hapa naongelea penis - vagina intercourse. Kuhusu matumizi mengine inategemea mtu na mtu.
 
Inategemea mtu na mtu 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom