Mtetezi.com
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 3,134
- 3,584
Inategemea mtu na mtu 🤣🤣🤣Hiyo ni lubricant na hata mume na mke wanaweza kutumia kama mbadala wa mate (Kwa wanawake wakavu au wanaokauka baada ya kuhimili kujamiiana Kwa muda mrefu). Na hapa naongelea penis - vagina intercourse. Kuhusu matumizi mengine inategemea mtu na mtu.